Kuhusu Course hii

Kwenye course hii naelezea njia nlizotumia kupata bidhaa ambazo lazima zitauza, kwa kufanya test ya soko kabla hata ya kuagiza bidhaa, hapa ndipo kulipo nisaidia kwa kuwa baada ya kupata bidhaa na kujua soko lipo tiyari, mzigo wote ulikua unaisha ndani ya siku chache tu, mzigo wa piece 100 unaisha at most ndani ya siku 3. That is wateja 33 kwa siku, bila duka, hii ni kwa ajili natumia njia zaidi ya 7 ya kutangaza na kupost bidhaa, na hizo njia 7 zina outlet kwa pamoja zaidi ya 50. So mteja mmoja tu akitoka kwenye outlet moja kwa siku, hao ni wateja 5o kwa siku, huo ni mfano tu, kwenye course hii nimeelezea njia zote nilizotumia kupata wateja.

Nilianza na mtaji mdogo sana nikasema sifi moyo nikaanza biashara na kuikuza polepole huku najifunza Nikapata formula inayofanya kazi ya kuagiza, kupata bidhaa kwa wakati, kutafuta wateja na kuuza bila kuwa na duka. Nilichokuja kugunda ni kwamba kila kitu kina umuhimu wake, kuanzia muonekano wa online store yako, bei unazoweka, mda wa ku post, mda wa kutangaza, siku za kutangaza, picha na maelezo unayoweka kwenye post zako za social media na kwingine, kote huku kuna formula ya kuweza ku boost biashaya yako. Haya na mengine mengi ndio nikaamua nishare na wengine hii course waweze kujifunza na wenyewe pia

HIVI NDIO BAADHI YA VITU UTAVYOJIFUNZA KWENYE KOZI HII

  • Kutafuta bidhaa ambazo lazima zitauzika

  • Kujua wapi pia kuagiza bidhaa kwa usalama

  • Kufanya manunuzi online kwa usalama bila kuibiwa

  • kutengeneza brand yako mwenyewe

  • Kupokea mizigo salama

  • Njia zote za kupokea mizigo

  • Ulipaji wa kodi kwa mizigo

  • Kupata angalau wateja 50 kila mwezi kutoka nyumbani

  • Bidhaa zinazouza na misimu yake

  • Jinsi ya kuwekea bei bidhaa na kuvutia wateja zaidi.

Course curriculum

Pricing options

Explain how different pricing options might be valuable to different segments of your audience.

UNA MTAJI MDOGO NA HAUJUI UANZIE WAPI KUWEKEZA ILI UPATE FAIDA?

Basi Hii Kozi Ni kwa ajili yako Wewe

Get started now